Lipa Kidogo Kidogo
Malipo ya awamu hadi miezi 8+ bila riba. Unalipa bei ya kiwanja tu.
Viwanja vilivyopimwa · Arusha & Kilimanjaro
Lipa kidogo kidogo bila riba kwa miezi 6 hadi 8+. Tunakupeleka kutembelea site bure.
Malipo ya awamu hadi miezi 8+ bila riba. Unalipa bei ya kiwanja tu.
Viwanja vya makazi na biashara katika maeneo yanayokua ya Arusha na Kilimanjaro.
Tunakupeleka kuona kiwanja chako kila wiki, kuanzia ofisi yetu Mianzini, Arusha.
Chagua bei ya kiwanja na muda wa kulipa uone kiasi cha kulipa kwa mwezi. Hakuna riba.
Kambele Investments Limited ni kampuni ya udalali wa ardhi na viwanja yenye ofisi Mianzini, Arusha. Tunauza viwanja vilivyopimwa katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, kwa bei zilizo wazi na malipo ya awamu bila riba.
Kabla ya kununua, unatembelea site bila gharama, unaona kiwanja chako mwenyewe, kisha unaamua.